ZIFUATAZO NI RATIBA ZA KWAYA YA BMMK KUINJILISHA KATIKA JUMUIYA.
1. TAREHE : 05.08.2015
MAHALI : JUMUIYA YA MT. MAGDALENA WA CANOSA
MUDA : KUANZIA SAA 04:00 - 06:30 MCHANA
SEHEMU YA KUKUTANA : KWA THEOBADINA GEORGE (MAMA LINDA)
AINA YA ADHIMISHO : MISA YA KUSAFIRISHA MSIBA.
MAHALI : KANDA YA MT. JOSEPH
MUDA : KUANZIA SAA 12:00 - 02:00 ASUBUHI
SEHEMU YA KUKUTANA : KITUONI USALAMA BUNJU "A"
AINA YA ADHIMISHO : MISA YA ZOEZI LA KUSIMIKA MISALABA.
3. TAREHE : 15.08.2015
MAHALI : JUMUIYA YA MT. CLARA
MUDA : KUANZIA SAA 08:00 - 11:30 JIONI
SEHEMU YA KUKUTANA : KITUONI USALAMA BUNJU "A"
AINA YA ADHIMISHO : MISA YA SOMO WA JUMUIYA
4. TAREHE : 22.08.2015
MAHALI : JUMUIYA YA MT. PIUS WA KUMI
MUDA : KUANZIA SAA 09:00 - 12:00 JIONI
SEHEMU YA KUKUTANA : KITUONI BAHARIA BUNJU "A"
AINA YA ADHIMISHO : MISA YA SOMO WA JUMUIYA
No comments:
Post a Comment