Wanakwaya Wakileta kwa Mgeni Rasmi Vazi Rasmi kwa shangwe ili lizinduliwe |
Vazi Rasmi kwa Upande wa Akina mama likioneshwa ambalo ni gauni la kikoti chake |
Shati kwa Upende wa akina Baba nalo laoneshwa |
Suruali nayo yaoneshwa ambayo ina rangi ya Ugoro ambayo ni inatambulisha Wakarmeli |
Baba Mlezi Pd. Dominick akijaribisha shati ambapo imetawala rangi ya blue inamtambulisha Bikira Maria |
Mgeni Rasmi Mr. Mushi, Mwenyekiti wa Kwaya na Pd. Dominick wakifurahia uzuri wa Vazi na kupata picha ya Pamoja. |
Mr. Mushi akikaribia kusema neno baada kuona Uzuri wa Vazi na jinsi Pd. Dominick lilivyompendeza. |
Pd. Donimick akionesha Fedha za Kigeni( Suisse Franken) alizopokea kutoka kwa Mr. Mushi hapo juu, Baada Kufurahia uzuri wa vazi na kuamua kumnunulia. |
Mzee Ndimbo na Flora wakijadili jambo katika kuandaa sherehe ya Somo wa Kwaya |
Marafiki wa Kwaya katika sherehe ya Somo wa Kwaya |
Marafiki wa Kwaya na Walezi wakifuatilia matukio katika sherehe. |
Wanakwaya wakifurahia kwa kucheza |
Viongozi wa Kwaya, Mgeni Rasmi pamoja na Pd. Dominick wakiingia ukumbini. |
Mwenyekiti akiwaongoza Mgeni Rasmi na Padre kuelekea Meza Kuu. |
Mgeni Rasmi, Padre na Mwenyekiti wakiwa Meza Kuu. |
Padre Dominick akifungua Sherehe kwa kujikabidhi kwa Mungu. |
Dj. William Yohana katika Ubora wake katika kazi hiyo pamoja na Organist Christopher Mark. |
Mwenyekiti Bw. Luambano P, akitoa neno la Ukaribisho |
Wanakwaya wakifuatilia matukio kwa makini kabisa |
Mpiga Ngoma Laurent katika Ubora wake katika kipaji chake. |
Mwenyekiti akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi. |
Mgeni Rasmi akitoa Neno la Hamasa. |