| Wanakwaya Wakileta kwa Mgeni Rasmi Vazi Rasmi kwa shangwe ili lizinduliwe |
| Vazi Rasmi kwa Upande wa Akina mama likioneshwa ambalo ni gauni la kikoti chake |
| Shati kwa Upende wa akina Baba nalo laoneshwa |
| Suruali nayo yaoneshwa ambayo ina rangi ya Ugoro ambayo ni inatambulisha Wakarmeli |
| Baba Mlezi Pd. Dominick akijaribisha shati ambapo imetawala rangi ya blue inamtambulisha Bikira Maria |
| Mgeni Rasmi Mr. Mushi, Mwenyekiti wa Kwaya na Pd. Dominick wakifurahia uzuri wa Vazi na kupata picha ya Pamoja. |
| Mr. Mushi akikaribia kusema neno baada kuona Uzuri wa Vazi na jinsi Pd. Dominick lilivyompendeza. |
| Pd. Donimick akionesha Fedha za Kigeni( Suisse Franken) alizopokea kutoka kwa Mr. Mushi hapo juu, Baada Kufurahia uzuri wa vazi na kuamua kumnunulia. |
| Mzee Ndimbo na Flora wakijadili jambo katika kuandaa sherehe ya Somo wa Kwaya |
| Marafiki wa Kwaya katika sherehe ya Somo wa Kwaya |
| Marafiki wa Kwaya na Walezi wakifuatilia matukio katika sherehe. |
| Wanakwaya wakifurahia kwa kucheza |
| Viongozi wa Kwaya, Mgeni Rasmi pamoja na Pd. Dominick wakiingia ukumbini. |
| Mwenyekiti akiwaongoza Mgeni Rasmi na Padre kuelekea Meza Kuu. |
| Mgeni Rasmi, Padre na Mwenyekiti wakiwa Meza Kuu. |
| Padre Dominick akifungua Sherehe kwa kujikabidhi kwa Mungu. |
| Dj. William Yohana katika Ubora wake katika kazi hiyo pamoja na Organist Christopher Mark. |
| Mwenyekiti Bw. Luambano P, akitoa neno la Ukaribisho |
| Wanakwaya wakifuatilia matukio kwa makini kabisa |
| Mpiga Ngoma Laurent katika Ubora wake katika kipaji chake. |
| Mwenyekiti akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi. |
| Mgeni Rasmi akitoa Neno la Hamasa. |