Monday, 26 January 2015

Kwaya ya Bikira Maria Mlima Karmeli - Bunju kwenye sherehe za Kumshukuru Mungu kwa Mwaka 2014

Kutoka kulia Elias Malembo, Christopher Mark na Luambano Patrick wakiwa katika harakati za kuandaa Nyama ya Mbuzi na jiko la kuchomea.

Elias Malembo Kulia pamoja na Majani wakiweka viungo kwenye tayari kwa kuchomwa.

Majani aliyeshika Panga pamoja na Christoher Mark katika harakati za kuandaa nyama.

Kulia Elias Malembo na Amos Kondo(Rugumya) wakichochea Moto ili kuivisha Supu ya Mbuzi.

Baba Mlezi wa Kwaya ya BMMK Pd. Dominick John Somola akisalimiana na Mwl. Mkuu wa Kwaya Isack Ntalyoka muda mfupi kabla ya kuanza rasmi shughuli yetu, Pembeni ni Mlezi Mlei wa Kwanza Mama Munuo.

Mwenyekiti wa Kwaya ya BMMK  Ndugu. Luambano Patrick akitoa neno  la Ukaribisho la Kumuomba Baba Mlezi Pd. Dominick afungue rasmi shughuli kwa Sala.

Pd. Dominick Somola akifungua kwa Sala, kushoto kwake ni Mama Munuo Mlezi wa kwaya, Mama Maria Mdee rafiki wa kwaya na Kulia ni Luambano Patrick Mwenyekiti wa Kwaya.

Add caption

Mwl. Nicolaus Ngindo kushoto pamoja na Patrick Elias wakiwa wanapata Nyama choma.

Mwl. Nicolaus Ngindo kushoto pamoja na Patrick Elias wakiwa wanapata Nyama choma

Kutoka kushoto Pd. Dominick Somola, Mrs. Luambano, Mr. Luambano, Patrick Elias, Christopher Mark na Rafiki wa kwaya Fransiska katika picha ya pamoja.
 
Mr. Chovye mume wa Mwanakwaya Upendo Chovye akitoa neno la shukrani na nasaha zake kwa Kwaya ya BMMK.

Pd. Dominick Somola naye akitoa neno la shukrani na nasaha zake kwa Kwaya ya BMMK.

Mwenyekiti wa Kwaya Bw. Luambano akipeana mkono wa shukrani na Baba Mlezi Pd. Dominick

Rafiki wa Kwaya Bi. Fransiska akitoa neno la shukrani na nasaha zake kwa kwaya ya BMMK- Bunju.

Baadhi ya Wanakwaya ya BMMK -Bunju wakiwa katika picha ya pamoja na Walezi na Marafiki wa Kwaya katika sehemu ya mbele ya nyumba ya Mapadre Parokiani Bunju.

No comments:

Post a Comment

Aleluya Kuu

Jesus Christ Your My Life