Monday, 26 January 2015

Kwaya ya BMMK - Katika adhimisho la Misa Takatifu ya sherehe za Mkesha wa Mwaka Mpya.

Wanakwaya wa BMMK -Bunju Wakiwa wanaliturujisha kwa nyimbo nzuri na zenye tafakari katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Mkesha wa Mwaka Mypa 2015.
 


Mcheza Kinanda wa Kwaya BMMK -Bunju Bw. Christopher Mark akiwajibika katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Mkesha wa Mwaka Mpya wa 2015.

Mpiga Ngoma wa Kwaya ya BMMK -Bunju naye Akiwajibika Kunogesha/ Kupendezesha Uimbaji katika Admimisho la Misa Takatifu ya Mkesha wa Mwaka Mpya 2015.

















No comments:

Post a Comment

Aleluya Kuu

Jesus Christ Your My Life