Wednesday, 5 August 2015

Sherehe za Maadhimisho ya Somo wa Kwaya 26.07.2015

Wanakwaya Wakileta kwa Mgeni Rasmi Vazi Rasmi kwa shangwe ili lizinduliwe 

Vazi Rasmi kwa Upande wa Akina mama likioneshwa ambalo ni gauni la kikoti  chake

Shati kwa Upende wa akina Baba nalo laoneshwa 

Suruali nayo yaoneshwa ambayo ina rangi ya Ugoro ambayo ni inatambulisha Wakarmeli

Baba Mlezi Pd. Dominick akijaribisha shati ambapo imetawala rangi ya blue inamtambulisha Bikira Maria

Mgeni Rasmi Mr. Mushi, Mwenyekiti wa Kwaya na Pd. Dominick wakifurahia uzuri wa Vazi na kupata picha ya Pamoja.

Mr. Mushi akikaribia kusema neno baada kuona Uzuri wa Vazi na jinsi Pd. Dominick lilivyompendeza.

Pd. Donimick akionesha Fedha za Kigeni( Suisse Franken) alizopokea kutoka kwa Mr. Mushi hapo juu, Baada Kufurahia uzuri wa vazi na kuamua kumnunulia.

Mzee Ndimbo na Flora wakijadili jambo katika kuandaa sherehe ya Somo wa Kwaya

Marafiki wa Kwaya katika sherehe ya Somo wa Kwaya

Marafiki wa Kwaya na Walezi wakifuatilia matukio katika sherehe.

Wanakwaya wakifurahia kwa kucheza

Viongozi wa Kwaya, Mgeni Rasmi pamoja na Pd. Dominick wakiingia ukumbini.

Mwenyekiti akiwaongoza Mgeni Rasmi na Padre kuelekea Meza Kuu. 

Mgeni Rasmi, Padre na Mwenyekiti wakiwa Meza Kuu.

Padre Dominick akifungua Sherehe kwa kujikabidhi kwa Mungu.

Dj. William Yohana katika Ubora wake katika kazi hiyo pamoja na Organist Christopher Mark.

Mwenyekiti Bw. Luambano P, akitoa neno la Ukaribisho

Wanakwaya wakifuatilia matukio kwa makini kabisa

Mpiga Ngoma Laurent katika Ubora wake katika kipaji chake.

Mwenyekiti akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi.

Mgeni Rasmi akitoa Neno la Hamasa.

Monday, 26 January 2015

Kwaya ya Bikira Maria Mlima Karmeli - Bunju kwenye sherehe za Kumshukuru Mungu kwa Mwaka 2014

Kutoka kulia Elias Malembo, Christopher Mark na Luambano Patrick wakiwa katika harakati za kuandaa Nyama ya Mbuzi na jiko la kuchomea.

Elias Malembo Kulia pamoja na Majani wakiweka viungo kwenye tayari kwa kuchomwa.

Majani aliyeshika Panga pamoja na Christoher Mark katika harakati za kuandaa nyama.

Kulia Elias Malembo na Amos Kondo(Rugumya) wakichochea Moto ili kuivisha Supu ya Mbuzi.

Baba Mlezi wa Kwaya ya BMMK Pd. Dominick John Somola akisalimiana na Mwl. Mkuu wa Kwaya Isack Ntalyoka muda mfupi kabla ya kuanza rasmi shughuli yetu, Pembeni ni Mlezi Mlei wa Kwanza Mama Munuo.

Mwenyekiti wa Kwaya ya BMMK  Ndugu. Luambano Patrick akitoa neno  la Ukaribisho la Kumuomba Baba Mlezi Pd. Dominick afungue rasmi shughuli kwa Sala.

Pd. Dominick Somola akifungua kwa Sala, kushoto kwake ni Mama Munuo Mlezi wa kwaya, Mama Maria Mdee rafiki wa kwaya na Kulia ni Luambano Patrick Mwenyekiti wa Kwaya.

Add caption

Mwl. Nicolaus Ngindo kushoto pamoja na Patrick Elias wakiwa wanapata Nyama choma.

Mwl. Nicolaus Ngindo kushoto pamoja na Patrick Elias wakiwa wanapata Nyama choma

Kutoka kushoto Pd. Dominick Somola, Mrs. Luambano, Mr. Luambano, Patrick Elias, Christopher Mark na Rafiki wa kwaya Fransiska katika picha ya pamoja.
 
Mr. Chovye mume wa Mwanakwaya Upendo Chovye akitoa neno la shukrani na nasaha zake kwa Kwaya ya BMMK.

Pd. Dominick Somola naye akitoa neno la shukrani na nasaha zake kwa Kwaya ya BMMK.

Mwenyekiti wa Kwaya Bw. Luambano akipeana mkono wa shukrani na Baba Mlezi Pd. Dominick

Rafiki wa Kwaya Bi. Fransiska akitoa neno la shukrani na nasaha zake kwa kwaya ya BMMK- Bunju.

Baadhi ya Wanakwaya ya BMMK -Bunju wakiwa katika picha ya pamoja na Walezi na Marafiki wa Kwaya katika sehemu ya mbele ya nyumba ya Mapadre Parokiani Bunju.

Aleluya Kuu

Jesus Christ Your My Life